The CSEE (Form Four) examination results have been declared today Jan, 24th 2019. Tanzlyt congratulates all who did well in their exams. Hongera sana kwa kufaulu!

CLICK BELOW TO VIEW

CLICK HERE RESULTS LINK1

CLICK HERE RESULTS LINK2

SHULE 10 BORA KITAIFA NECTA 2018

Baraza la Mitihani (NECTA) limetangaza shule 10 bora zilizofanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2018/2019.

Mwanafunzi aliyefanya vizuri kitaifa anatoka shule ya sekondari ya Ilboru iliyoko mkoani Arusha ambaye ni HOPE MWAIBANJE

Shule kumi bora ni;
St. Francis Girls – Mbeya
Kemebos – Kagera
Marain Boys – Pwani
Ahmes – Pwani
Marian Girls – Pwani
Canossa – Dar es Salaam
Bright Future Girls – Dar es Salaam
Maua Seminari – Kilimanjaro
Precious Blood – Arusha
Bethel Sabs Girls – Iringa